Msaada kuhusu tcu

Tango one

Member
Aug 28, 2012
19
2
Wandugu naombeni msaada kuhussu tcu mimi nimesoma diploma ya community development na nimeomba kujiunga na vyuo,lakini nimeangalia kwenye profile yangu,selection status inaonyesha Not yet processed,wakati wenzagu wameshapata majibu,kwenye majibu ya wasiochaguliwa tcu sipo,waliokosea sipo,waliochaguliwa sipo nanimejaribu kuongea nao wakakiri kwamba sijachaguliwa lakini wanalishghulikia mpaka watu nimejaribu kuwatuma huko,lakini mpaka sasa hivi hakuna jibu linaloeleweka,Kiwango changu cha kufaulu ni upper second,nimjaribu kuomba second round wanajibu zimejaa,naombeni msaada nifanye nini?
 
pole! Inamaana umekosa kabisa empy slot kwenye zile nafasi zilizotolewa awali? System ya tcu mwaka huu imewasumbua sana watu. Wapigie simu tena,siunajua deadlne ni tar 29? Au kama unaweza kwenda directly kwenye chuo husika ulichoomba awali,unaweza pata nafasi.
 
Wandugu naombeni msaada kuhussu tcu mimi nimesoma diploma ya community development na nimeomba kujiunga na vyuo,lakini nimeangalia kwenye profile yangu,selection status inaonyesha Not yet processed,wakati wenzagu wameshapata majibu,kwenye majibu ya wasiochaguliwa tcu sipo,waliokosea sipo,waliochaguliwa sipo nanimejaribu kuongea nao wakakiri kwamba sijachaguliwa lakini wanalishghulikia mpaka watu nimejaribu kuwatuma huko,lakini mpaka sasa hivi hakuna jibu linaloeleweka,Kiwango changu cha kufaulu ni upper second,nimjaribu kuomba second round wanajibu zimejaa,naombeni msaada nifanye nini?

kaka kwa maana hiyo mpaka sasa haujapangiwa chuo,kama ungekuwa umepangiwa basi ungejibiwa kwamba tayar umeshachaguliwa,so jaribu kufuatilia kwa ukaribu coz tc u mwaka huu wana errors nyng,usiogope may almight God be with u.
 
santen sana shida nikwamba nikiomba direct chuon sitopata mkopo kabisaa sasa mama yangu mwenyewe kashazeeka maisha yakubangaiza pesa itatoka wapi?
nimemtuma mama dar yupo huko but kweli hajapata jibu cm zao zote hazipatikani landline tu ndo inapatikana ila leo nimejaribu tu kuomba second round chuo archbishop tabora akasema admitted yan hata sijawahi kukisikia chuo hicho mana nilikua nafanya patapotea kila chuo nilikua nikijaza kimejaa ndo mana nikawa najaza hiki kimeandika admitted sasa kifuatacho
 
nisaidieni waungwana nimeomba second round jana ikakubali kwa my profile imeandika Admitted so inamaana ndo nimeshachaguliwa hicho chuo au and nini natakiwa kufanya msinicheke tafadhali nisaidieni tu
 
Back
Top Bottom