Naombeni Msaada wa maelezo zaidi kuhusu hili tangazo la TCU

rba

Member
Oct 31, 2015
23
45
Naombeni Msaada wa maelezo zaidi.
TCU wametoa hili tangazo
Invitation to apply for recognition of prior learning (RPL) Examinations as a pre_requisite to join degree programmes into higher learning institutions for Academic year 2017/2018.

Nimesoma vizuri lakini sijaelewa hasa wanataka mtu awe na ufaulu upi na uzoefu upi.
 
Princess qute

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
625
1,000
Naombeni Msaada wa maelezo zaidi.
TCU wametoa hili tangazo
Invitation to apply for recognition of prior learning (RPL) Examinations as a pre_requisite to join degree programmes into higher learning institutions for Academic year 2017/2018.
Nimesoma vizuri lakini sijaelewa hasa wanataka mtu awe na ufaulu upI na uzoefu upi.
Nnavowackia watu wanasema kwamba ni mitihani wanafanya watu ambao hawajitimiza vigezo vya kuingia bachelor wanafanya mitihan yao ukifaulu unakuwa na vigezo kwa mujibu walivoeka kwaio me sielew ni watu akina nani wanaofanya hiyo mitihan mfano km wafanyakazi au waloishia form 4 au form2 sielew ila sasa mwenzangu cjui ww umeelewaje mpk ukaulizia vigezo tuanzie hapo kwanza
 
rba

Member
Oct 31, 2015
23
45
Mwenye kuelewa msaada pliz
Nnavowackia watu wanasema kwamba ni mitihani wanafanya watu ambao hawajitimiza vigezo vya kuingia bachelor wanafanya mitihan yao ukifaulu unakuwa na vigezo kwa mujibu walivoeka kwaio me sielew ni watu akina nani wanaofanya hiyo mitihan mfano km wafanyakazi au waloishia form 4 au form2 sielew ila sasa mwenzangu cjui ww umeelewaje mpk ukaulizia vigezo tuanzie hapo kwanza
 
Ndama Jeuri

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
1,285
2,000

Kwa hiyo itakuwa tofauti na foundation course zilizopigwa marufuku ?
 
dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
2,878
2,000
Ni kwa watu ambao hawana vigezo vya kujiunga na elimu ya juu, kwa hiyo wanauzoefu tayari kazini na wasiku nyingi , kwahiyo wanatakiwa kwenda kuufanya huo mtihani wakifaulu wanapata cheti ambacho kinakuwezesha kuomba kuomba kozi yoyote uipendayo chuo kikuku.
Unatuma maombi TCU, ndo wanakupangia kituo cha kwenda kufanyia huo mtihani.

Vituo tayari wameshavitaja ni makumira , mzumbe, Sokoine na vinginevyo.

Tembelea mwananchi kwa ufafanuzi zaidi
 
ngurumoo

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
583
500

Mwananchi ??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom