niliwahi kuomba msaada wa namna ya kutatua tatizzo la kutokuwaka kwa simu tecno y4 wapo walionisaidia kwa vitendo na wapo pia walionisaidia kwa ushauri.. ushauri mkubwa ulikuwa ni kuipeleka simu yenyewe tecno.... ahsanteni wote mlionipa msaada kwa namna yoyote ile... niliipeleka simu kwa duka la tecno na huko ilikaa mwezi mzima,, na nashukuru imerudi na imewaka,, ila imerudi na tatizo lingine la kutokuwa na nertwork muda wote,, yaani nertwork not available muda wote.. tafadhali naombeni msaada wenu kulitatua hili tatizoHivyo naombeni msaada wanajukwaa juu ya namna ya kutatua tatizo hili
angalia imei kama zipo *#06# ukiona invalid imei ujue ndio sababuniliwahi kuomba msaada wa namna ya kutatua tatizzo la kutokuwaka kwa simu tecno y4 wapo walionisaidia kwa vitendo na wapo pia walionisaidia kwa ushauri.. ushauri mkubwa ulikuwa ni kuipeleka simu yenyewe tecno.... ahsanteni wote mlionipa msaada kwa namna yoyote ile... niliipeleka simu kwa duka la tecno na huko ilikaa mwezi mzima,, na nashukuru imerudi na imewaka,, ila imerudi na tatizo lingine la kutokuwa na nertwork muda wote,, yaani nertwork not available muda wote.. tafadhali naombeni msaada wenu kulitatua hili tatizo
Hiyo simu huenda ikawa na tatizo la IMEI number kwa hiyo issue ni kuitafutia namba nyingine kisha ui-root na kuingiza.Lakini hilo litakuwa ni kosa mbele ya TCRA.niliwahi kuomba msaada wa namna ya kutatua tatizzo la kutokuwaka kwa simu tecno y4 wapo walionisaidia kwa vitendo na wapo pia walionisaidia kwa ushauri.. ushauri mkubwa ulikuwa ni kuipeleka simu yenyewe tecno.... ahsanteni wote mlionipa msaada kwa namna yoyote ile... niliipeleka simu kwa duka la tecno na huko ilikaa mwezi mzima,, na nashukuru imerudi na imewaka,, ila imerudi na tatizo lingine la kutokuwa na nertwork muda wote,, yaani nertwork not available muda wote.. tafadhali naombeni msaada wenu kulitatua hili tatizo
hapana tatizo sidhani kama ni imei,, maana naweza nikaweka laini mtandao waweza kuja lakini ni wa chini sana na muda mwengine ndio unapotea kabisaHiyo simu huenda ikawa na tatizo la IMEI number kwa hiyo issue ni kuitafutia namba nyingine kisha ui-root na kuingiza.Lakini hilo litakuwa ni kosa mbele ya TCRA.
Baseband na Imei ndio tatizo..hapana tatizo sidhani kama ni imei,, maana naweza nikaweka laini mtandao waweza kuja lakini ni wa chini sana na muda mwengine ndio unapotea kabisa
Inabidi u-take risk kwa kubaili imei na baseband.Fundi au mtu yeyote atakayehusika na mchezo huo anaweza akawekwa kwenye mikono ya TCRA.Kuna application nyingi kama imei changer,mobile uncle,king root nk.Lakini ni kinyume na sheria za mtandao..kwahiyo ni nini kifanyike mkuu
duh!!!!!ππππInabidi u-take risk kwa kubaili imei na baseband.Fundi au mtu yeyote atakayehusika na mchezo huo anaweza akawekwa kwenye mikono ya TCRA.Kuna application nyingi kama imei changer,mobile uncle,king root nk.Lakini ni kinyume na sheria za mtandao..
NIPO MOROGORO NATENGENEZA KWA BEI NAFUU SANA PIGA 0717009369 USIPIGE USIKUnipo morogoro mjini
Je hii kitu lazima fundi ndio aifanye hii kazInabidi u-take risk kwa kubaili imei na baseband.Fundi au mtu yeyote atakayehusika na mchezo huo anaweza akawekwa kwenye mikono ya TCRA.Kuna application nyingi kama imei changer,mobile uncle,king root nk.Lakini ni kinyume na sheria za mtandao..
Ni salama zaidi (do not try at home )Je hii kitu lazima fundi ndio aifanye hii kaz
Hakuna haja ya ku root aende kwa mafundi wata rebuild imei ya hiyo ambayo iko nyuma ya hiyo simu km haipo ndiyobasi tenaHiyo simu huenda ikawa na tatizo la IMEI number kwa hiyo issue ni kuitafutia namba nyingine kisha ui-root na kuingiza.Lakini hilo litakuwa ni kosa mbele ya TCRA.
Fanya factory reset tu hiyo simu ianze upya.vip kuhusu h6 inawasha data km kawa ila ukiingia playstore inagoma na page inapotea...nipo dar.msaada tafadhali