Msaada kuhusu tatizo hili la kichwa

Mbishi Uswazi

Senior Member
Feb 7, 2020
142
249
Habari za mihangaiko Wakuu

Nimekuja kwenu nina tatizo naomba msaada wa ushauri/mawazo ya kitaalamu kuhusu Afya yangu.

Miaka mitano iliyopita nilipatwa na tatizo Kwenye kichwa, yaani ndani ya kichwa eneo la utosi Nilipatwa na mwasho mkali kwa ndani nikaanza kupakuna kadri nilivyokua napakua pakawa kama panamwga maji kwa ndani, nilipolala kuamka asubuhi nikasikia kichwa ni kizito nikakitikisa kushoto na kulia ni kama kulikua na uji mzito ndani ya kichwa ukipeleka kushoto unausikia una hamia upande huo..

Kutokana na changamoto ya kukosa pesa Ya kufanya vipimo Nilidumu na hali hiyo kama mwaka ikawa kama imeisha.

Kilichonifanya kuja kwenu leo hii huo Mwasho nimeanza kuusikia tena unanikosesha Amani, Mwenye.

Natamani sana kwenda hosptal Kufanya uchunguzi ila uwezo huo sina, Ndo maana nimekuja kwenu Wataalam wa Afya Mnaweza kuwa mlishakuta na Mgonjwa wa tatizo kama langu mkanisaidia kutokana na Uzoefu Wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom