Importances of weighbridges in our country,Majina ya barabara zote nchini, aina za udongo unaotumika kujenga barabara, mapana ya barabara ,aina za matuta yanayowekwa barabarani, ishara na alama zote za barabarani, mwisho kabisa tell us about your self and why we should employ you and not others!
Ukiweza hayo kazi umepata kila la kheri mkuu!