Msaada kuhusu TANROADS DODOMA.

Msaada kuhusu TANROADS DODOMA.

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Naombeni msaada kwa anayejua ni lini TANROADS DODOMA waliita watu interview. Kuna mtu kauliza hapa JF na akaambiwa na mdau mmoja kuwa interview tayari. Kwa mwenye taarifa ya uhakika juu ya Interview TANROADS DODOMA atoe msaada kama kweli au la!
 
Ilifanyika tar 21/12/12 kwenye nafasi ya assistant accountant, mi nillitwa! pole klama ujaiitwa adi leo.
 
Back
Top Bottom