Inamaana UK eroot storage capacity inaongezeka?Root hiyo kitu utaifaidi
Utaweza kuinstaill some apps kwenye sd card hivyo cm itakua nyepesiInamaana UK eroot storage capacity inaongezeka?
Sorry nisaidie kunielekeza coz me pia natumia w4 simu nzito inaonyesha kujaa na hakuna mafile ya kutosha nilo downloadJaribu kufuta mafail kwenye file management. Kwa kawaida ukifuta picha za kawaida zinapohifadhiwa.zinakuwa zimefutika lakini kwenye file management.. Hazijafutika. Kwa hiyo zinajaza nafasi... Pia karibu kujiunga na Google photo & Google drive. Uwe unasevu vitu vyako muhimu. Na itakusaidia memery yako ya GB 8.kuwa empty siku zote.. .Mimi pia natumia w3.ukifata hayo maelekezo utafurahia cm yako.
Mimi ninazo hizo google photo na drive, nawezaje kumishia vitu vyangu kwenye hizo app?Jaribu kufuta mafail kwenye file management. Kwa kawaida ukifuta picha za kawaida zinapohifadhiwa.zinakuwa zimefutika lakini kwenye file management.. Hazijafutika. Kwa hiyo zinajaza nafasi... Pia karibu kujiunga na Google photo & Google drive. Uwe unasevu vitu vyako muhimu. Na itakusaidia memery yako ya GB 8.kuwa empty siku zote.. .Mimi pia natumia w3.ukifata hayo maelekezo utafurahia cm yako.
Vitu ambavyo unafuta kwenye garley. Huwa havifutiki kwenye file management.Sorry nisaidie kunielekeza coz me pia natumia w4 simu nzito inaonyesha kujaa na hakuna mafile ya kutosha nilo download
Unaingiza @amail yako. Pamoja na password.Mimi ninazo hizo google photo na drive, nawezaje kumishia vitu vyangu kwenye hizo app?