Msaada kuhusu Songe Sekondari

2my

JF-Expert Member
Jan 30, 2010
287
7
Habari zenu wana JF!!!!!
Kuna mdogo wangu kapangwa Songe sekondari kuendelea na kidato cha tano sasa tatizo sijui hii shule ilipo pia ubora wake!!!!
kwa wale wanaoifahamu shule hii naombeni mnijuze au kama kuna aliyewahi kusoma katika hiyo shule naomba msaada wako!
natanguliza shukrani!!
 
habari zenu wana JF!!!!!
kuna mdogo wangu kapangwa songe sekondari kuendelea na kidato cha tano sasa tatizo sijui hii shule ilipo pia ubora wake!!!!
kwa wale wanaoifaham shule hii naombeni mnijuze au kama kuna aliyewahi kusoma katika hiyo shule naomba msaada wako!
natanguliza shukrani!!

Ni msichana au mvulana?
Kuna Songea boys na Songea girls. Zote ni shule za serikali na ni za siku nyingi. Songea girls ipo mjini zaidi na boys ipo kama km 4 hivi toka mjini, lakini bado ni mjini mjini.Ubora, nakushauri utembelee matokeo yao ya kidato cha sita miaka ya nyuma.
 
ni msichana na sio songea girls mpendwa ni songe sekondari ndo maana inanimix ht nikijaribu kuigogle siioni!
 
Songe Sekondari ipo mjini songe wilaya ya kilindi mkoa wa Tanga. Wilaya ni mpya nafikiri na shule itakuwa mpya.
 
Ni msichana au mvulana?
Kuna Songea boys na Songea girls. Zote ni shule za serikali na ni za siku nyingi. Songea girls ipo mjini zaidi na boys ipo kama km 4 hivi toka mjini, lakini bado ni mjini mjini.Ubora, nakushauri utembelee matokeo yao ya kidato cha sita miaka ya nyuma.

Songe ipo Musoma Mjini, si shule nzuri kivile kwani hiyo A LEVEL wameanza hivi karibuni so hawana track record
 
Hapo nimepatikana. Mi nikajua muuliza swali umekosea kwa kuandika songe. Sorry for that.
Naona kuna shule nyingi sana siku hizi.
 
Songe ipo Musoma Mjini, si shule nzuri kivile kwani hiyo A LEVEL wameanza hivi karibuni so hawana track record

nashukuru kitongoli kumbe bado changa!!ndo maana ht haijulikani
 
Hapo nimepatikana. Mi nikajua muuliza swali umekosea kwa kuandika songe. Sorry for that.
Naona kuna shule nyingi sana siku hizi.

yes Nanren yaani shule ni nyingi hadi unachanganyikiwa....
 
ni msichana na sio songea girls mpendwa ni songe sekondari ndo maana inanimix ht nikijaribu kuigogle siioni![/QUOTE]

Teh teh, mwanangu umenifanya nicheke bila kupenda, una google jina la shule ya sekondari Tanzania, tena ya serikali! labda hadi mtakaponichagua mm kuwa Rahisi!
 
Wakubwa mimi pia ninatatizo kama la mwenzangu akiyeanzisha post hii but nimeona sio vizuri kama na mimi nitaweka post nyingine tena,but mimi nilikuwa naomba mtu yoyote mwenye contacts za GALANOS HIGH SCHOOL, ipo TANGA, nilikuwa nahitaji NO ya simu ya shule au ya mkuu wa shule au hata mwalimu yoyote wa shule hiyo even no ya mwanafunzi tuu,maybe pia anaweza kunisaidia chochote,nimehangaika sana na google,nimeambulia sanduku la posta tu,kama mnavyojua tena shule zetu za serekali zilivyo,natanguliza shukran!!!!!!!!!
 
Kuna mdo wangu alimaliza hapo miaka ya tisini ilikuwa shule nzuri kipindi hicho. Ila ilikuwa na O'level tu najuwa. Ndo baadaye wakaibadili kuwa na highschool kwa girls. Kwa sasa sijui kama ina walimu wazuri maana nakumbuka mdogo wangu alipata DV 1 ya 12 alipomaliza form four hapo shuleni. Kwa high school sijui kwakweli na ni mdada sasa yawezekana kuna mabadiliko pia ya walimu. Ipo karibu na Musoma Secondary ile yenye high school ya boys.
 
naona hata A level matokeo yake sio mabaya
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo_acsee/s0778.htm
 
hata mm mdogo kachaguliwa iyo shule bt hata siijui wala na wala siwashauri m2 ampeleke mdgo wake labda iwe sbb ya kifedha maana gov skul r cheaper....
 
nashukuru kitongoli kumbe bado changa!!ndo maana ht haijulikani

changa kwa upande wa A'level lakini si changa kwa upande wa shule, ni shule iliyoanzishwa miaka ya 1990/1991 hivi, mwanzoni ilimilikiwa na chama ushirika mkoa wa mara na ilijulikana kama SONGE FARMER'S SECONDARY SCHOOL (ikiwa ni o'level tu) kati ya mwaka 2004/2005 hivi serikali iliichukua rasmi kuifanya kuwa shule ya girls ya A'level. ipo katika mazingira mazuri sana ya kusoma mwaka 2000 nilipomaliza pale tatizo kubwa lilikuwa maji ambapo ilitulazimu kwenda ziwani kupata maji ya matumizi yetu. ziwani si mbali sana.
 
igrade kwa haya matokeo NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL
OF TANZANIA
ACSEE 2013 EXAMINATION
RESULTS
S0778 SONGE SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 6 DIV-III = 67 DIV-
IV = 1 FLD = 1
 
Songe iko nje kidogo ya Musoma manispaa. Ni shule ya wasichana. Mm nimesomea Musoma tech shule ya wavulana. Hapo songe ndipo tulipokuwa tuna pa visit ili kupata marafiki. Ni jirani tu! Shule zote za gvt zinafanana kitaaluma Au unamaanisha ubora wa misosi?
 
msibishane niulizeni mimi ndo mwenyeji musoma nipeni iyo deal ntaleta mpaka number ya mlinzi...
Kama bado upo Musoma nisaidie, Mwanangu kapangwa Songe Sekondari nahitaji kupata mawasiliano ya simu ya hapo shuleni pia kufahamu mazingira na taaluma mwisho namna ya kupata Joining Instruction Form. Natanguliza shukrani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom