MSAADA KUHUSU SMARTPHONE.

swag

Member
Joined
Nov 23, 2016
Posts
52
Reaction score
22
1. Habari za humu jf. Nani anambie vizuri kabisa kuhusu maana ya android version na software na nn kazi zake ktk divice husika?

2.kitu gani kinapelekea simu kupata moto(kuchemka)wakati data on? Na nn tiba yake?

Thank you very much jf members!!!
 
Daaaa hilo ni. Darasa kabisa. Andaaa elfu kumi utanitumia mpesa nikupigie hata lisaa 1 nitakuelimisha tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ