Naomba kusaidiwa tofauti ya tecno m3 na tecno p5.ipi nzuri na naweza kumchukulia mtu upande wa picha saf na net.asanteni

P5 ni nzuri, ila tu memory si kubwa ya kutosha apps nyingine, waweza kuiongezea memory (virtual memory) ikafaa sana.