Mimi natumia mkuu, kikubwa kabisa ninachoangalia ni uwezo wa kurun emulators, toka Vulkan ianze kuenea simu zisizotumia soc za qualcomm zinarun vizuri emulators. Hivyo hitaji langu kubwa inaweza kulitimiza.
Naweza kuishi bila apps za Google, na inatimiza pia hitaji langu la Extreme multitasking.
Vitu ambavyo ningependa viwepo zaidi ni xenon flash kama kwenye mate series, Napenda sana Xenon kuliko hizi led flash, pia wakitoa uwezo wa ku unlock bootloader ni plus zaidi.