Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Why masterSiwezi na sitaweza kununua SIMU itakayozidi laki moja.KWA FEDHA YA KITZ
Majukumu yananibana..pia nothing new..kitu anachofanya mwenye simu ya cost hizo kubwa..mimi naweza fanya kwa cost ya chin ya hapoWhy master
Siyo kweli labda kama unapiga na kutuma sms, ila kama ila kama simu yako unaitumia kuacess email account yako, calender, kuwa connected na account zako za online muda mwingi, kama linkeid, upwork, instagram, facebook, freelancer, quora, templar, yani in short kama unaitumia simu kama mbadara wa PC muda mwingine basi lazima simu ya chini ya laki moja itafail kurun utitiri wa apps.Majukumu yananibana..pia nothing new..kitu anachofanya mwenye simu ya cost hizo kubwa..mimi naweza fanya kwa cost ya chin ya hapo
Hapo umenena kiongozSiyo kweli labda kama unapiga na kutuma sms, ila kama ila kama simu yako unaitumia kuacess email account yako, calender, kuwa connected na account zako za online muda mwingi, kama linkeid, upwork, instagram, facebook, freelancer, quora, templar, yani in short kama unaitumia simu kama mbadara wa PC muda mwingine basi lazima simu ya chini ya laki moja itafail kurun utitiri wa apps.
Zishatoka na Zote zinatumia midrange soc mpaka flagship yao.subiri mwezi huu kuna chuma kinatoka cha google pixel
Kwanza mkuu hizo pixel ni midrange zote huwezi pata same perfomance kama note 10. Uzuri wa pixel mpya over samsung ni kamaHabari za muda huu ndugu zangu. Naomba kwa kuanza kuwa mimi ni mpenz sana wa simu nzuri, kiukwel kabisa mwanzoni nilikuwa natumia samsung note series. Nilianza note 5 hadi 10 ila mambo ya ada ikabidi niuze na kuchukua tecno. Sasa hivi kidogo naona kamfuko kangu kananiruhusu kurudi kwenye simu zenye chati kidogo.
Naombeni mnipe kaelimu juu ya hizi simu za google pixel utofaut na simu zingine za android(samsung hasa upande wa note series maana nimewahi tumia baadhi) vipi upande wa camera zake na kadhalika.
Ila napenda kujua zaid hii google pixel 4a. Ambayo kwa sasa naona ndio toleo lake mpya mengine bado hayajatoka. Asanteni sana na samahani kama kiswahili kibovu nina imani nitakuwa nimeeleweka.
siyo kwamba walizitangaza tu?Zishatoka na Zote zinatumia midrange soc mpaka flagship yao.
Unaweza kununua lakini, pre order tayari na specs zinafahamika. Dola 700 unapata midrange phone.siyo kwamba walizitangaza tu?
midrange half Ni dola 700? madnessUnaweza kununua lakini, pre order tayari na specs zinafahamika. Dola 700 unapata midrange phone.
Mkuu unaweza kwa maamuz yaku kununua huawei p40 pro plus kama cash unayoUnaweza kununua lakini, pre order tayari na specs zinafahamika. Dola 700 unapata midrange phone.
Unaweza kununua lakini, pre order tayari na specs zinafahamika. Dola 700 unapata midrange phone.
Chief nahitaji msaada wako kuhusu simu yangu.Unaweza kununua lakini, pre order tayari na specs zinafahamika. Dola 700 unapata midrange phone.
Zilikuwa highend mpaka pixel 4 mwisho, ghafla mwaka huu pixel 5 imekuja na midrange soc, labda baadae wanaweza toa pixel nyengine yenye highend soc.Ina maana google pixel sio high end?
Okay hata muonekano wake tu ni hovyo sijui wanafeli wapi hawa watuZilikuwa highend mpaka pixel 4 mwisho, ghafla mwaka huu pixel 5 imekuja na midrange soc, labda baadae wanaweza toa pixel nyengine yenye highend soc.