Wanajamvi naomba mnisaidie cmu yangu tajwa hapo juu ilianza inastacksitaki kwa muda alafu inaendelea kufanya kazi kawaida lakin kuanzia leo asbuhi screen haisense tena ndo nikaipeleka kwa fundi akanambia ina virus wengi hivyo akaiflash,nilipofka home tatizo likarejea tena.Je mnaona simu yangu ina tatizo gan na nifanyeje au niipeleke kwa fundi gani? Mi naishi moshi