Msaada: kuhusu Signal Messenger

hilar

New Member
Jan 8, 2021
4
1
Naomba mnifahamishe kuhusu Signal Messenger, inavyofanya kazi na umuhimu wake kwenye ulimwengu wa social media.
 
Naiskia hata Mimi ila sijawahi kujaribu ngoja wajuzi waje?

Je, itakua bora kuliko tele na what's app?
 
Naiskia hata Mimi ila sijawahi kujaribu ngoja wajuzi waje??

Je itakua bora kuliko tele na what's app?
Kikubwa ni Privacy. Signal hailink data zozote na wewe. Data pekee inayochukuliwa na Signal ni Contact info tu. Telegram pia inachukua contact info tu lakini wengine wanachukua info nyingi. Kimsingi signal iko secure na inajali zaidi privacy yako kwa kutochukua data zozote

Angalia hii picha ina summarize data zinakua linked na wewe katika app hzo
20210113_093639.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom