Msaada kuhusu shule ya secondary Chisorya Bunda

CHIRALITY

Member
Nov 28, 2016
24
19
Habari zenu wana jf Mimi ni mwalimu mpya wa wa sayansi nimepangiwa shule ya secondary chisorya BUNDA naomba kwa mtu yeyote anaeifahamu anaweza kunipa information za shule hiyo na mazingira ya maeneo hayo
 
Back
Top Bottom