Msaada kuhusu shule ya jangwani girls

Msaada kuhusu shule ya jangwani girls

mariam22

Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
9
Reaction score
1
Habari zenu ,ninaomba maelezo kuhusu shule hii ( kama kuna walimu wa kutosha ,mazingira yake ,hostej,ufaulu wa shule) inshort mazuri na mabaya asanteni
 
Jangwani akiwa seriouz na shule anatoka.
 
vp mkuu nadhani atakuwa kashamaliza maana tokea 2012 miaka sita sasa
 
Back
Top Bottom