Ukidownload file la file manager kwani haina built in file manager?Jamani nahitaji kufahamu, nina simu ya Oppo A83 ina Ram6 na storage 128 lakini kinachonishangaza ukidawnload fail la file manager linakuonesha 64GB ndo storage, sasa sijaelewa hapo nisaidieni wajuzi.
Ndo ilivyoandikwa ata ndani ni storage 128Oppo A83 - Full phone specifications
m.gsmarena.com
Kwa mujibu wa gsmarena, toleo hilo la simu storage kubwa iko nayo ni 64GB...
Hiyo 128GB ulijuaje wewe?
Na hapa ata mm nashangaa gsmarena inaonekana storage kubwa ni 64 lkn sim Yenyewe inaonesha ina storage 128Oppo A83 - Full phone specifications
m.gsmarena.com
Kwa mujibu wa gsmarena, toleo hilo la simu storage kubwa iko nayo ni 64GB...
Hiyo 128GB ulijuaje wewe?