Msaada kuhusu Selection za NACTE

Buyagakibunje

Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Samahani wadau nimeapply nursing, kwenye profile yangu inasema napaswa nisubiri next selection... coming soon. Wakati huohuo nacte imetangaza kufunga rasimi udahili. Msaada jamani nifanyeje
 
usiwe na wasiwasi aisee!mimi mwenyewe nimeambiwa nisubiri selection ijayo na itatangazwa baada ya tarehe 27 ambayo ni Jumatatu baada ya saa sita mchana.

Kikubwa vyuo ulivyoomba viwe bado vina nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…