Msaada kuhusu selection NACTE

Msaada kuhusu selection NACTE

plz kwa waliochaguliw acity college of health sciences clinical medicine tuonane jamani kwa kushauriana plz
 
nakwambia hujachaguliwa kwasababu ukichaguliwa lazima kwenye profile yako ionyeshe mambo yafuatayo:1applcant name(jina lako),2gender(jinsia),3user name(namba ya mtihani form four),4chuo ulichochaguliwa na 5kozi uliyochaguliwa,sasa je umeyaona yote hayo????
Kaka sisemi uongo hata screen short ninayo sema jinsi ya kuiweka cjui kama unauyalamu unielekeze au unitumie no yako watsap nikutumie screen short unisaidie ushauri ndungu no 0758494651
 
Jamani hayo yote nilifanya but ya kuiweka screen short inakataa mwenye uelewa anielekeze au anifolow watsap 0758494651 nimtumie screen short ndio anipe ushauri asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom