Msaada kuhusu selection NACTE

Msaada kuhusu selection NACTE

mwita burure

Senior Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
192
Reaction score
39
Ndugu wana jf natumaini hamjambo

Nina matatizo kidogo katika profile yangu. Niliapply NACTE kozi ya Afya na Education na walipotoa selection sikuwemo ikanibidi KUEDIT vyuo. Baada ya siku kama sita yani leo nimesearch index no yangu nakuta nipo selected lakini profile wameandika wait for selection.

Naomba msaada mwenye ufahamu juu ya hilo wana jf. Index no S1065/0049/2015, Asanteni.
 
Tatizo ni kwamba nikisearch index no naona selected nanukuu Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program kama ilivyo hapo juu. Uchaguzi huu utategemea uthibisho kutoka chuoni
 
Tatizo ni kwamba nikisearch index no naona selected nanukuu Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program kama ilivyo hapo juu. Uchaguzi huu utategemea uthibisho kutoka chuoni
Hongera, Ushachaguliwa.
Zinasubiriwa taratibu za chuo husika.
 
Na Mimi imenikuta hiyo, lakini kwa sasa nikiingiia naona tofauti kabisa , yaani naambiwa your not selected @ msaada plz
 
Na Mimi imenikuta hiyo, lakini kwa sasa nikiingiia naona tofauti kabisa , yaani naambiwa your not selected @ msaada plz
Kaka tuwasiliane 0758494651 watsap tusaidiane coz na nina tatizo kama hilo
 
Lakani profile wameandika weit for selection but index no nikisearch nakuta nipo selected
Tafuta mawasiliano ya chuo ulichopangwa wapigie simu wakutoe hofu, profile haitabadilika mpaka utakaporipoti chuo au angalau kujaza joining instructions, nao waka update information zao kwa necta.
 
kama unataka kulipia mie nimelipa ila cjatumia contact me nikuuzie ....
 
jmn mm profil yangu inaniletea takwimu za chuo nakwenye remark inandika meets reaqurment waiting 4 next selection sielewi jmn nielewesheni
 
Nmelipa kwa mpesa ila naingiza wananambia mpesa code error, nkiwapgiaa awapokei... Msaada plz
 
wakuu mimi nilimwombea mdogo wangu, na dedline ilikuwa 30 june. je waliochaguliwa majina yametoka? na je yamewekwa kwenye website ipi? msaada tafadhali...
 
wakuu mimi nilimwombea mdogo wangu, na dedline ilikuwa 30 june. je waliochaguliwa majina yametoka? na je yamewekwa kwenye website ipi? msaada tafadhali...
Mkuu,,, uliapply hapa jamii forum? Hili jukwaa limekuwa na maswali mengi sana ya kitoto, samahani fungua website ya nacte na uingie kwa profile utaona vyote na kama hajachaguliwa utaambiwa nini cha kufanya
 
Tatizo ni kwamba nikisearch index no naona selected nanukuu Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program kama ilivyo hapo juu. Uchaguzi huu utategemea uthibisho kutoka chuoni
kakahujachaguliwa ndugu yangu,fuata protocol kupitia website ya nacte utapata majibu
 
nakwambia hujachaguliwa kwasababu ukichaguliwa lazima kwenye profile yako ionyeshe mambo yafuatayo:1applcant name(jina lako),2gender(jinsia),3user name(namba ya mtihani form four),4chuo ulichochaguliwa na 5kozi uliyochaguliwa,sasa je umeyaona yote hayo????
 
wakuu mimi nilimwombea mdogo wangu, na dedline ilikuwa 30 june. je waliochaguliwa majina yametoka? na je yamewekwa kwenye website ipi? msaada tafadhali...
pole sana kwa majibu yanayokatisha tamaa ila nikushauri tu huwezi kupata complete list utapata jina lako kwakupitia index namb yako ingia website ya nacte bofya tangazo la pili then kuna batani itakuelekeza chakufanya hapo utapata majibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom