denestumain
Senior Member
- Sep 20, 2014
- 172
- 152
Wana jamvi poleni na majukumu. Samahanini kwa usumbufu ila naomba kujua kuhusiana na scheme of service hapa nchini kwetu, ikoje.
Asanteni sana
Asanteni sana
Kama hujui kwa nini umeuliza?Hapana sina ujuzi kuhusu hilo
Nimeuliza sababu sijui nataka kujuaKama hujui kwa nini umeuliza?
Okay kaka asante, je unaweza pia kuwa na ujuzi kuhusu scheme of service kwa wizara ya afya!?Hahaa tusimkatishe tamaa asije kimbia:
Scheme of Service Meaning:
- A plan that is developed by a government or large organization in order to provide a particular service for people.
Kwa tafsiri isiyo rasmi:
-Ni mpango/mipangilio iliyowekwa na serikali au kampuni/jumuia/taasisi kubwa ili itoe mwelekezo wa shughuli husika/Fulani kwa watu
Kwa hiyo kila taasisi zinakuwa na mpangilio wake tofauti kuelezea kwa kina majukumu ya kila kada au ngazi kutoka mkubwa mpaka wa chini. Inaonesha jukumu lake kwa ile nafasi na ukomo wake.
Zaidi waweza ingia google.com kupata specific unayotaka.
Okay kaka asante, je unaweza pia kuwa na ujuzi kuhusu scheme of service kwa wizara ya afya!?