Mkuu ulipata jibu hapahabari wadau...naomba mnijuze au kama mtu ana document inayoonyesha udadavuzi wa scale hizi za mshahara PUT, HTS na PGSS anisaidie
hapana kakaMkuu ulipata jibu hapa
habari wadau...naomba mnijuze au kama mtu ana document inayoonyesha udadavuzi wa scale hizi za mshahara PUT, HTS na PGSS anisaidie
PUTS inaanzia 5,800,000 toka liniPuts mshahara unaanzia 5,800,000
Academicians wa vyuo vikuu hao
Labda anamaanisha inaishia hapo!! Maana inaanzia hapo uliposema na ni kweli ni scale za mishahara kwa academicians wa vyuo vikuu! Pia inaitwa PUTS siyo PUT
Kwa viwango vya Tz huo ni mshahara mkubwa japo bado ni kidogo sana! Maana wengine huanzia 715,000/=