msaada kuhusu research title.

Interests zako tutazijuaje? Naona kama huwezi hata kufikiria title itabidi uombe kuandikiwa vilevile.

Bado kuiva
 
Inatakiwa ujue kwanza unataka kuandika kuhusu nini maana hiyo economics in education iko wide sana.
Pia inatakiwa kujua utafanyia katika organisation gani.
Maana tunaweza tukakupa topic, EFFECT OF MONEY LAUNDERING IN ECONOMY GROWTH. hapa sasa mpakaa ujue case study itakuwa wapi, labda wewe utaifanyia research yako TANAPA. Hapa sasa utagundua hii topic haiwezeka ni kutokana na case study hiyo. We sema utafanyia organisation gani tukumwagie matopic ya kutosha hapa.
 
Mkulima aka Peazant wewe hufai kabisa. Yaani umeiba mtihani ukashinda kuingia sekondari. Umehonga na kupata madesa ukafanikiwa kuingia high school. Sasa uko chuoni tena unasoma kadigrii ka kwanza bado unaomba madesa online! Ukitoka hapo nawe ujisifie eti msomi. Laiti ungesoma Ulaya huenda ungekimbia shule mwenyewe. Maana hizo research papers hapa si moja wala kumi kila prof anataka research paper. Ukiingia kwenye masters ndiyo usiseme. Zaidi ya hapo sitaki nijisumbue kukueleza. Pia huku hakuna kudesa wala kusaidiwa online. Nimalizie kwa kukupa research title: Why Tanzania is offering her minerals and her president still manages to go shamelessly to beg from the very same guys he blindly offers all precious minerals and other public utilities at a throwaway price afer being given ten percent and all of his majordomos and cohorts.
 
Sasa kweli hiyo research title uliyompa,si ya kumkomoa au unafanya makusudi?
 
Mkulima naweza nikakusaidia kwa kukuambia nenda kwenye website ya 'www.scribd.com' unaweza ku access research mbalimbali walizofanya watu mbalimbali. Unajua ukisema watu wakupe research title,unaweza ukapewa reseach title ambayo ikawa nje ya interest zako au uwezo wako. Na jinsi ya kupata research title sio ngumu sana,unachopaswa ni kutambua tatizo lolote linaloikumba aidha jamii au organisation au sector yoyote kisha unaitumia kama title.
 
Sasa kweli hiyo research title uliyompa,si ya kumkomoa au unafanya makusudi?

kampa live ni sehem ya kumrudisha darasni aanze kufikiri upya. kuna topics nyingi sana ambazo hata literature review zake zipo za kutosha. sasa kuja kuomba ushauri JF, huoni kuwa naye ana tatizo? Kuna academic advisor wake, ambaye anajua mazingira ya chuo, wahazili wanainterest gani huyo angekuwa msaada mkubwa, sasa kuja hapa JF si kupoteza muda?
 
Father of All.
Hiyo research title uliyompa haifai tu kuchaguliwa, standard research topic haitakiwi kuzidi maneno ishirini. Tuwe makini sometimes.
 
I like ua reaction guys thats makes me to think much better so how if ma research topic wil be impact of air pollution at Ilemela district in Mwanza Region
 
Bora hii mada imeletwa hapa,,,mimi topic yangu ni hii
THE ROLE OF RURAL AREAS TO TANZANIA'S DEVELOPMENT,ni kwenye field ya DEVELOPMENT STUDIES,hebu naomben more adivaisi
 
Back
Top Bottom