permanent solution ni ku unisntall apps za kipuuzi na kuacha app chache tu.
pia unaweza fanya hivi hapo ulipoona apps nyingi zinarun unaweza ukaziclose ila solution hii ni temporary.
unaweza pia ukadownload task manager kama vile go task manager ukafanya general kill itaclose background app zote zinazokula ram.
kwenye samsung yangu kuna developer mode(sidhani kama kwenye tecno ipo) ila kama ipo unaweza kwenda na kuchagua simu itadeal vp na background apps unaweza ukaeka iwe moja au hata uikataze simu isiweke background apps
Tecno L3 dah, nilipo soma tu specs zake mwili ukasisimuka. Haya bwana.
Kaka chief-mkwawa hiyo mambo developer mode ipo kwangu, lakini naona kama ni ya wale ma-wizard wa android au? Maana siielewagi... Na mm ningependa kuua hiz background apps kwa njia hii
Shukrani kiongozi nadhani inabidi ni uninstall baadhi ya app japo naona sehemu kubwa ya ram inaliwa na applications/systems zilizomo katika simu kama vile settings nk
Nimejaribu kuzi stop ila baada ya muda zinarudi na kuanza kupiga mzigo upya aisee tecno hii kwa mara ya kwanza inafanya nianze kuichukia hii kampuni ambayo ni niliona ni kimbilio letu kwa akina sisi tunaopenda vizuri kwa bei nafuu
Tecno L3 dah, nilipo soma tu specs zake mwili ukasisimuka. Haya bwana.
Kaka chief-mkwawa hiyo mambo developer mode ipo kwangu, lakini naona kama ni ya wale ma-wizard wa android au? Maana siielewagi... Na mm ningependa kuua hiz background apps kwa njia hii
download go task manager one click unaua background apps zote ambazo sio za system.
ila pia ukiroot simu unaweza un install bloatware kama google map, now, gmail na apps zote ambazo huwezi zi uninstall
Hapo kwenye rut mkuu embu fafanua kidogo ili na mimi nipunbuze apps ambazo n useless kwangu