Kuna baadhi ya games activation mpaka online, cha kufanya, fungua PSN account ni bure, sio lazima utumiae ps4 hata kwenye pc ya kawaida unaweza sign up, ukishafungua ac, tumia simu yako kama ina uwezo wa kufanya tethering esp.. wifi, connect ps4 yako kwenye internet kupitia simu yako, then sign in kwa kutumia psn credentials ulizotumia ku- sign up baada ya hapo nadhani unaweza fanya activation na mengineyo yatakayohitajika.