Msaada kuhusu proxy number za airtel

nundaz

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
272
Reaction score
193
Wakuu heshima kwenu. naombeni porty number na proxy number za airtell ili niweke kwenye tablet yangu iwe na speed kubwa. kwa sasa haina porty number wala proxy number zozote na speed yake ni ndogo sana hata nikiwa kwenye 3G.
 
hiyo mkuu mbona umejidanganya? proxy number hazifanyi internet yako iwe faster. bali uwezekano wa kuijfanya iwe slow upo ikiwa hiyo proxy yenyewe ipo slow. hata kama proxy ipo faster lakini kama intenet yako ipo slow internet yako itabaki kuwa slow. jaribu kuangalia factors nyengine zinazofanya intenet yako kuwa slow
 
kwa hyo mkuu proxy number hazina kazi kwenye kuifanya internet iwe speed au slow. kazi hasa ni nini? nielimishe kaka hapa
 
speed ya internet inategemea sana network coverage na ubora wa service provider bt kwa wireless connection number ya watu wanao acces net inadetermine speed ya net....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…