Msaada kuhusu Pressure wash za magari

Nenda Mikocheni ikishapita kwa Warioba wapo agents WA Karcher, hii ni kampuni kubwa sana Duniani ya vifaa hivyo. Unaweza ku google ukapata namba zao za simu na Sehemu sahihi walipo
 
Je ni aina ipi nzuri? za petrol au umeme? Ni product ipi ni imara?
Mkuu...hujasema una mpunga kiasi gani....
kama una mpunga wa kutosha...kwa dunia ya sasa......
tumia hiii
AquaJet_XT_cropped_01.jpg
 
Mpunga isizid M kk, afu ambayo ina spea zake ka ikizngua somehow sio ikikoroga tu unatupa hukoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom