Nassor Ally Cholo
Member
- Nov 13, 2016
- 10
- 4
Hivi ukisoma PGDE unawez ukachukuw Masom ya sayans mfan chem &geo lakin degree ulisomea human resource
Hapo hawaangalii degree yako ya kwanza, wanaangalia masomo yako mawili ya A-level utakayofundisha. Kwahiyo wewe ndo utachagua masomo utakayofundisha kwa kuangalia A-level ulifaulu masomo gani.Hivi ukisoma PGDE unawez ukachukuw Masom ya sayans mfan chem &geo lakin degree ulisomea human resource