MSAADA KUHUSU PLAYSTORE

ICT OFFICER

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
235
Reaction score
300
Hivi ukiweka App yako playstore alafu ukapata downloads nyingi sana .... je unalipya per downloads???
 
hapana haulipwi per download unalipwa kama app ina matangazo, playstore ni soko tu kama soko la kariakoo sasa umeshaona wapi soko likamlipa mfanyabiashara
At least mfanyabiashara alilipe soko!
 
hapana haulipwi per download unalipwa kama app ina matangazo, playstore ni soko tu kama soko la kariakoo sasa umeshaona wapi soko likamlipa mfanyabiashara

Asante sana mkuu, pia kwenye matangazo wanalipa both per views and per click....... au per click tu??
 
umefungua playstore account mwenyewe uka upload app au umegongea account ya mwengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…