Nenda File, then save as..kabla hujaaave angalia hapo chini kuna mahali utaclick utapata options mojawapo ya option ni kusave as pdf, select pdf then save
Mwelezeni kwamba haiwezekani File kuwa pdf. Ila document mojamoja waweza ibadili kuwa pdf. Zipo njia nyingi za kufanya hivyo. Kama ni vyeti bila shaka umescan basi ulipaswa usave kama pdf. Na pia zipo converter nyingi tuu. Serch online.