OPen wametoa jana majina jina lako nani na umeomba kozi ganiNilitumiwa email from open university kwamba wamenichagua kujiunga hapo ila wakasema ni provision letter na majina wao mpka sasa hawajatoa nifanyaje wadau ??
.mkuu hayo majina yapo sehem gan.?maana kila nikiingia website ya open siyaoni.OPen wametoa jana majina jina lako nani na umeomba kozi gani
Subiri dakika mojaZakaria I kemmy bachelor of science in data management
Poa kiongozi
Andaaa karo kasome umechaguliwaPoa kiongozi
umeliona jina lako ???Naweza pata muongoz kidogo toka kwako??
Welcome 4 further clarificationNimeliona asante
Ada ya open university ni cheap sana unalipia kwa unit kila unit elfu sitini unasajili unit according na quezon wako wa adaVip kuhusu ada zina kuwa juu au??naunalipa kwa awamu au mwaka??
Aisee mbona mimi sijaona? Niliomba community economic developmentWelcome 4 further clarification
Taja jina lako na koziAisee mbona mimi sijaona? Niliomba community economic development
Naomba niku dmTaja jina lako na kozi
Taja jina acha siasaNaomba niku dm
Naomba niku dm