Msaada kuhusu NMB chapchap

balwani

Member
Jan 8, 2019
34
20
Poleni kwa majukumu wakuu

Nimefungua akaunti NMB chapchap, nimeenda kwa wakala leo kuweka pesa wameniambia huweza kuweka pesa kwa namba ya simu na wakati wamenipa namba ya simu iwe kama akaunti yangu.

Je hii hudumu nitaweza kuwa na kadi kama akaunti nyengine na je nitapewa namba ya kawaida badala ya hii ya simu?

Ni hayo tu wakuu, poleni kwa majukumu.
 
Hii huduma ya namba ya Simu sijawahi ona, kwani hujapewa kadi? Nmb chapchap huwa inakadi
 
Piga huduma kwa wateja NMB utapata majibu sahihi acha uvivu wakupiga simu
Poleni kwa majukumu wakuu

Nimefungua akaunti NMB chapchap, nimeenda kwa wakala leo kuweka pesa wameniambia huweza kuweka pesa kwa namba ya simu na wakati wamenipa namba ya simu iwe kama akaunti yangu.

Je hii hudumu nitaweza kuwa na kadi kama akaunti nyengine na je nitapewa namba ya kawaida badala ya hii ya simu?

Ni hayo tu wakuu, poleni kwa majukumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom