Msaada kuhusu nafasi za masomo ya ualimu

Msaada kuhusu nafasi za masomo ya ualimu

Mafunzo ya ualimu kwa vyuo vingi huanza mwezi julai na Agosti. Maombi hutumwa kuanzia mwezi April.Dirisha LA udahiri hutangazwa kupitia NACTE. Fuatilia kupitia www.nacte.go.tz kwa taarifa na utaratibu. Waelimishe na wengine, ahsante
Nafasi zinatoka lini? Au kama zimeshatoka nazipata katika website gani ? Na utaratibu uko vp Wa kuaapply ualimu wa certificate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom