kwa maelezo niliyopata kutoka kwa kiongoz wa chuo furani kilichopo arusha ni kwanba ili mtu asome ordinary diploma anatakiwa awe na elimu ya form six au awe na certificate ya ualimu ila kwa form four wote wanatakiwa waanze na technician certificate NTA level 5 miaka miwili halafu badae ndiyo asome diploma NTA level 6 miaka miwili.
Hizi ni taarifa za uhakika kwa mujibu wa sim niliyopiga.