Wakuu kama kuna walimu humu wa shule za secondary naombeni mnisaidie kunielewesha kuhusu mda wa kutoka vyeti vya kidato cha nne na je kama vinashukua mwaka 1 kwa wale waliomaliza form 4 mwaka 2015 vyeti vyao vimeshatoka .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.