Msaada kuhusu MS-excel-2007

Msaada kuhusu MS-excel-2007

jov

Senior Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
121
Reaction score
9
Habari za kwebu, Nina shida katika Ms- excel 2017 Haifungui document ambayo ipo kwenye CD wala flash inaandika 'There was a problem sending the command to the program'
 

Attachments

  • doc.png
    doc.png
    66.4 KB · Views: 51
Ifungue kwanza program. Then nenda office button halaf open, then locate file lako na maliza kwa ok
 
Ahsante nimefanikiwa isha kuwa vizuri ,
 
Back
Top Bottom