GPA za nini wkt hata test 1 hujafanya wala hata group asaiment 1 hujafanya njoo SUA uone kama kuna m2 anapata GPA ya 5, theoretically ipo practically haipo.

meona eeh! Af humu kuna baadhi ya wachangia mada wanajifanya wana g.p.a ya 5! jma let talk the true chuon n kugum na hizo g.p.a mpk upate kubwa u should struggle san tena zaid ya san