the guy here i am
Member
- Nov 11, 2018
- 81
- 32
Nasikia vimaumivu kwa mbaali sehemu ya moyo kwa kuchoma choma unapodunda na hata muda mwingine kwa nyuma yake karibu na bega panauma piaa..kuna muda moyounaweza ukauma wenyewe kama unachoma choma.MSAADA