Msaada kuhusu mkopo

Msaada kuhusu mkopo

empressu

Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
38
Reaction score
1
wakuu embu tusaidiane kidogo hapa vyuo vya private vinavyotoa kozi za afya kama kcmc,cuhas,kiu e.t.c ada yao ni kubwa sana kiac kwamba km hauna mkopo huwezi kusoma..swali langu ni kwa wale waliowahi kusoma au wanaosoma vyuo hivyo walipata mkopo bila wasiwasi?
 
Course za afya mkopo upo sema mwisho wa ada ni 3100000 ndo unalipiwa na serikali kama ukipata asilimia mia
 
Course za afya mkopo upo sema mwisho wa ada ni 3100000 ndo unalipiwa na serikali kama ukipata asilimia mia

thnx utapewa tu kwa kigezo cha kozi ya afya au vigezo vingine vitausishwa?
 
course za afya wanapewa upendeleo sana,me bi mkubwa wangu anasoma bugando lakini amepata mkopo asilimia mia,na yeye ni mfanyakazi
 
Mkopo ni bahati angalia usije ahirisha mwaka
 
Mkuu inategemea, mkopo ni bahati ya mtu but kwa private ata ukipewa 100% utaongezea kiasi cha pesa bcouz asilimia mia wanatoa kwa range ya vyuo vya serikali
 
Back
Top Bottom