wangewange
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 189
- 43
Habari wana jf ,ningeomba kujua kama mtu uli disco chuo na ulikuwa na mkopo ,una kaa muda gan kuomba tena mkopo na chuo? Na je taratibu za mkopo zinakuwaje na chuo unaomba tena? .ahsanteni
Unalipia 25% ya mkopo wako ulotumia den unafanya application upya.... Kwenye kupata apo bahati nasibu lolote laweza kutokeaHabari wana jf ,ningeomba kujua kama mtu uli disco chuo na ulikuwa na mkopo ,una kaa muda gan kuomba tena mkopo na chuo? Na je taratibu za mkopo zinakuwaje na chuo unaomba tena? .ahsanteni
nashukuru sanaUnalipia 25% ya mkopo wako ulotumia den unafanya application upya.... Kwenye kupata apo bahati nasibu lolote laweza kutokea