Mwambie afungue akaunti yake arekebishe sasa hivi kipengele cha tatuMimi nina ndugu yangu alifaulu na akapata chuo awamu ya kwanza ila baada ya kutuma maombi ya mkopo kumbe jina lake lilikuwepo katika waliokosea ila alipuuza ama kutojua na sasa amekuja jua juzi kuwa alitakiwa rekebisha fomu kuna namna gani hapo ya kumsaidia akuweka sahihi tu
Hakuna mchongo hapo, afungue akaunti yake aende moja kwa moja namba tatu arekebishe sasa hivi, wanaruhusuCheck mi pm nkupe mchongo
Hujaelewa nini hapo, wewe huna akaunti ya maombi ya mkopo bodi ya mikopo?Sijakuelewa
We jamaa ni mgumu wa kuelewa, haya bana ngoja nikuacheAkaunti ni ya huyo mdogo wangu
Mwambie afungue akaunti yake sasa hivi arekebishe sasa hapo huelewi niniNisaidie namba yako nanje si walisema muda umeisha wa marekebisho?
Nkuchek mm auNichek kwa hzo no 0784217951 nikusaidie mkuu
Nkuchek mm au
Hili jamaa linazingua kweli sasa naniNkuchek mm au
Mimi nina ndugu yangu alifaulu na akapata chuo awamu ya kwanza ila baada ya kutuma maombi ya mkopo kumbe jina lake lilikuwepo katika waliokosea ila alipuuza ama kutojua na sasa amekuja jua juzi kuwa alitakiwa rekebisha fomu kuna namna gani hapo ya kumsaidia akuweka sahihi tu
Mnaweka namba zenu za simu hapa halafu kutwa kuitukana serikali ya Mpendwa wetu JPMNichek kwa hzo no 0784217951 nikusaidie mkuu
Afanye appeal
Chuo alipata round IPI?Mkuu hatua za kuapeal zipoje maana mdogo wangu aliomba yeye hakukosea ila jina lake halijatokea lakin kuna attachment alisahau ya kitambulisho cha TASAF sababu wazazi hawana uwezo kabisa wa kumsomesha
First round mkuuChuo alipata round IPI?
Na alikuwa na pt8 hgl kachaguliwa law udsmFirst round mkuu