Msaada kuhusu mkoa wa Tabora

Kwanza tujue unatokea wapi kwenda tabora ili tutengeneze relation. Usije ukawa umetoka kagera kwenda Tabora. Ni sawa na kutoka chooni kwenda bafuni hivyo huitaji dos na don'ts
[emoji28]watu mna maneno machafu. ... natokea Darisalama Mkuu
 
Ni mkoa ambao unapaswa kuwa makini. Ukiwatazama kama washamba ila wana mambo.Usipende umbeya,uchokozi,kurukia mambo hovyohovyo nk.Kuwa mwangalifu.Ishi maisha ya kawaida mji usikumeze bila huruma. Hata starehe zipo.
Ahsante kwa ushauri
 
Mkuu, kuwa makini na mkoa huo. Ni mkoa wa hovyo na wanakaa watu hovyo sana tena wanawake zao hawana maana kabisa. Fata kilichokuepeleka. Namalaga onene ngosha
 
Mkuu, kuwa makini na mkoa huo. Ni mkoa wa hovyo na wanakaa watu hovyo sana tena wanawake zao hawana maana kabisa. Fata kilichokuepeleka. Namalaga onene ngosha
Ungenifafanulia kidogo hapo kwa "wake za watu hawana maana " na "wanakaa watu hvyo sana"
 
Acha umbea mtoto wa kiume utakuja haribiwa. mmepewa msaada halafu unaanza kuleta matusi na Dharau kwa wenyeji wako.
 
Acha umbea mtoto wa kiume utakuja haribiwa. mmepewa msaada halafu unaanza kuleta matusi na Dharau kwa wenyeji wako.

nadhani umechanganya mafaili mkuu! Mimi ni Taborian. So mimi sio mgeni. Kwani nakosea nikisema sisi wanyamwezi tuna sifa ya 'roho za kukunja' ndio maana hata pamoja na kupata viongozi wakubwa hadi leo kimaendeleo tuko nyuma.
 
Acha umbea mtoto wa kiume utakuja haribiwa. mmepewa msaada halafu unaanza kuleta matusi na Dharau kwa wenyeji wako.

nadhani umechanganya mafaili mkuu! Mimi ni Taborian. So mimi sio mgeni. Kwani nakosea nikisema sisi wanyamwezi tuna sifa ya 'roho za kukunja' ndio maana hata pamoja na kupata viongozi wakubwa hadi leo kimaendeleo tuko nyuma.?
 
Uhazili uhazili uhazili dah sifa zako zilininyima papuchi kibao za watoto wazuri dah!
 
Tabora bado primitive sana. Mpaka leo hii utakuta ukikutana na polisi unaulizwa kitambulisho.....
Kama huna wanakuweka lupango kwa kesi ya uzururaji.....
Huelew ni kwa nini polisi wanauliza, pale Tabora watu waliozamia toka Burundi, Rwanda, DRC kuptia Kigoma ni wengi hivyo ni kawaida sana, huko Kigoma hujafika ila kuna barriers kila baada ya kilomita3
 
Huu Uzi wapenda biashara ngoja tukae pembeni maana hapa ushauri ulio jaa ni uzinzi na uchawi. Mr T.Bagwell huko tabora ukawe makini naona fursa ni kiduchu sana.
Naona mkuu.... maana mada kuu ni hizo mbili
 
Kwa wale wafanyabiashara huu mkoa fursa zake zimekaaje?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…