Msaada kuhusu Mbeya university of science and technology

Msaada kuhusu Mbeya university of science and technology

Joined
Jun 12, 2017
Posts
54
Reaction score
9
Ndugu kwawale wanao kifahamu hiko chuo naomba wanieleze cpt yaani computer engineering wanafundisha vizuri kweli , alafu kinaweza kukifikia dit.
 
Kapige electrical au architect must ziko poa sana hizo tuliopita tanaujua mziki wake hapo ukigraduate salama utakuwa umekwiva Mzee baba!!
 
Kama ndio passion yako kasome tu bt elimu ya chuo inahitaji kujiongeza tu ili uwe tofauti Mkuu.
 
karibu M.U.S.T mkuu,utatukuta site hapa tunapiga book balaa!
 
ipo fresh karibu ukutane na mnyama siriakus
Huyu mzee noma sana kanitembezaga kwenye vikorido vya civil department pale na vya kule juu MCB..... nimekesha sana dlink[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
  • Thanks
Reactions: NHS
Ndugu kwawale wanao kifahamu hiko chuo naomba wanieleze cpt yaani computer engineering wanafundisha vizuri kweli , alafu kinaweza kukifikia dit.
Kabadili chap upige civil engineering au electrical engineering ziko poa sanaaa. Zingine pale bado hazijakomaa saaana!
 
Ndugu kwawale wanao kifahamu hiko chuo naomba wanieleze cpt yaani computer engineering wanafundisha vizuri kweli , alafu kinaweza kukifikia dit.
Aisee mbona siku hazitembei nimechoka kukaa home nahamu nipae nije must nikutane na ma engineers
 
Back
Top Bottom