WaungwanaTukiacha changamoto za maji,umeme,tozo na mengine,naamini wote ni wazima na wenye changamoto za kiafya basi Mungu awape wepesi.
Niende kwenye mada,kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu hiyo masters tajwa.
Nmeona UDSM, na OPEN wanaitoa na nmevutiwa nayo kiasi ila kuna vitu nataka kujuzwa au kuvijua kabla sijajisogeza
1.Je ni umahili gani mtu anatoka nao katika course hii
2.Je ni maeneo gani haswa wanahitajika watu waliosoma hiyo elimu,
3.je kwa nchi yetu uhitaji ukoje kwa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiacha changamoto za maji, umeme, tozo na mengine, naamini wote ni wazima na wenye changamoto za kiafya basi Mungu awape wepesi.
Niende kwenye mada, kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu hiyo masters tajwa.
Nmeona UDSM, na OPEN wanaitoa na nmevutiwa nayo kiasi ila kuna vitu nataka kujuzwa au kuvijua kabla sijajisogeza
1. Je ni umahiri gani mtu anatoka nao katika course hii
2. Je ni maeneo gani haswa wanahitajika watu waliosoma hiyo elimu,
3. Je kwa nchi yetu uhitaji ukoje kwa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona una makasiriko kiongozi.Wewe usihangaike kusoma kwasababu huna akili kabisa, hujui mabaya ya Magufoool, hapo ulipo hujui kuwa Watumishi wa Umma tuliporwa haki ambazo zipo kisheria kwa miaka sita na mabaya mengi kwa wafanyabiashara.
Hela ninazoBado kuna watu wanapoteza muda kusoma masters,tafuteni hela acheni kupoteza muda.
Hii course ni nzuri kama undergraduate umesoma Bachelor ya Libraly, Maana mwisho wa siku unabaki kuwa Librarian, japo kama undergraduate ulisoma Degree ya libraly na GPA ni nzuri unaweza kufundisha as long as utapata Good Masters degree yenye GPA Zaidi ya nne kwa vyuo vinavyotoa classifications.Tukiacha changamoto za maji, umeme, tozo na mengine, naamini wote ni wazima na wenye changamoto za kiafya basi Mungu awape wepesi.
Niende kwenye mada, kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu hiyo masters tajwa.
Nmeona UDSM, na OPEN wanaitoa na nmevutiwa nayo kiasi ila kuna vitu nataka kujuzwa au kuvijua kabla sijajisogeza
1. Je ni umahiri gani mtu anatoka nao katika course hii
2. Je ni maeneo gani haswa wanahitajika watu waliosoma hiyo elimu,
3. Je kwa nchi yetu uhitaji ukoje kwa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hata usipokua na GPA librarian ni sawa na mwanataaluma viwango vinalingana.Hii course ni nzuri kama undergraduate umesoma Bachelor ya Libraly, Maana mwisho wa siku unabaki kuwa Librarian, japo kama undergraduate ulisoma Degree ya libraly na GPA ni nzuri unaweza kufundisha as long as utapata Good Masters degree yenye GPA Zaidi ya nne kwa vyuo vinavyotoa classifications.
Unakuwa mwanataaluma kwa kuwa unasimamia Libraly, na Libraly iko chini ya taaluma, lakini katika kufundisha Lazima uwe na GPA ya 3.8 Kwa Public Univeristies na Atleast 3.5 Kwa Private Universities, Hii ni sheria ya TCU na sio ya Libralians.Hiyo hata usipokua na GPA librarian ni sawa na mwanataaluma viwango vinalingana.
Nakazia kwa level ya Bachelor degree ndiyo unatakiwa kuwa na GPA ya 3.8 Master degree at least 4.0 kwa public universities.Unakuwa mwanataaluma kwa kuwa unasimamia Libraly, na Libraly iko chini ya taaluma, lakini katika kufundisha Lazima uwe na GPA ya 3.8 Kwa Public Univeristies na Atleast 3.5 Kwa Private Universities, Hii ni sheria ya TCU na sio ya Libralians.
Iandikwe "LIBRARY", badala ya "LIBRALY".Hii course ni nzuri kama undergraduate umesoma Bachelor ya Libraly, Maana mwisho wa siku unabaki kuwa Librarian, japo kama undergraduate ulisoma Degree ya libraly na GPA ni nzuri unaweza kufundisha as long as utapata Good Masters degree yenye GPA Zaidi ya nne kwa vyuo vinavyotoa classifications.