Msaada kuhusu malipo ya hostel

Msaada kuhusu malipo ya hostel

mwinyimputo

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
13
Reaction score
2
Ndugu wa JF family naomba kuelezwa kuhusu ulipaji wa hostel km Heslb wanahusika au hapna,maana cc wa mabbo tunatakiwa kulipa 73k,je mkopo ukitoka hyo hela inakuwepo au hapana,
 
Hyo unalipa mwenyew. So unaweza ukachomoa kwenye pesa ya meals & accommodation ukalipia
 
Heslb hawalipagi hela ya hostel ni ww mwenywe
 
Unapoenda kulipoti chuo lazima uandae pesa kwaajili ya Hostel na chakula, pia pesa ya Registration kutegemea na mahitaji au maelekezo ya chuo chako.

Hiyo unayopewa na HESLB utapatiwa baada ya wewe kuwa umesajiliwa kuwa mwanafunzi rasmi wa chuo ndipo chuo kinatuma majina yenu HESLB ili wawaletee hela.

So hiyo hela huipati leo wala kesho jiandae tu.
 
Back
Top Bottom