wakuu nawasaLimu wote. Back to topic. Nimejaribu kucheki online haya magari aina ya toyota ist yenye cc 1300 gharama yake ya huko japani ni dollar 1280. Naomba wataalamu mnisaidie gharama Zake halisi mpaka kulitoa bandarini yaani mpaka liingie barabarani. Je wenye ufahamu unywaji wa mafuta upo vipi wa hizi gari? Tafadhari msaada na ushauri wote ntaupoke na kuufanyia kazi. Nawasilisha.
Hiyo gari ni economic sana mkuu...inanusa mafuta mkuu....sema sidhani kama zinafaa kwa long safari...
ni gari zuri na inanusa mafuta ile mbaya ila tatizo moja kwa masafari ya kibongo halifai tafuta toyota rav4 ni zuri kwako
asante kwa ushauri mkuu.rav 4 ni gari nzuri but cost zake nadhani zipo juu compare to my ability...! Je ulishawahi kutumia hilo gari,i mean toyota ist? Je huna data za cost zake?
nimetumia rav4 ni zuri sana ndo mana nimekushauri ulitumie hilo au lingine ambalo ni zuri ni GAIA nalo zuri sana
wakuu nawasaLimu wote. Back to topic. Nimejaribu kucheki online haya magari aina ya toyota ist yenye cc 1300 gharama yake ya huko japani ni dollar 1280. Naomba wataalamu mnisaidie gharama Zake halisi mpaka kulitoa bandarini yaani mpaka liingie barabarani. Je wenye ufahamu unywaji wa mafuta upo vipi wa hizi gari? Tafadhari msaada na ushauri wote ntaupoke na kuufanyia kazi. Nawasilisha.
Nimeskia hizo gari ziko nyingi sana Tz kwa sasa hope ni nzuri kuendea sokoni au job pia parking haitasumbua
nyingi sana...mimi naziona gari za mademu na teenagers[new drivers]
kingkong la7 ulifauru?Nunua Maybach au Aston Martin cc 6000 ,CIF 265,000$
Te te teeee mi siji nunua hizo hatchback aisee samtimz ni kama shape za toddlers shoes.
Ila mkuu mtoa mada we nunua tu coz tuko tofauti tofauti
msikatishe tamaa watu hv kuna gari za mademu na wanaume wanawake wanaendesha gari nyingi mfano prado,rava4,noah,ist ,spacio nk hata yako c kuna mademu wanatembelea wabongo tunadilike migari mikubwa ya nini kuengea kazini kuna gari ni maalum kwa masafa wewe unaendea kazini na miforeni ya dar linakugonga mafuta mfano magari ya 4 four drive wakati mizunguko ni town tu any way
wakuu nawasaLimu wote. Back to topic. Nimejaribu kucheki online haya magari aina ya toyota ist yenye cc 1300 gharama yake ya huko japani ni dollar 1280. Naomba wataalamu mnisaidie gharama Zake halisi mpaka kulitoa bandarini yaani mpaka liingie barabarani. Je wenye ufahamu unywaji wa mafuta upo vipi wa hizi gari? Tafadhari msaada na ushauri wote ntaupoke na kuufanyia kazi. Nawasilisha.
kingkong la7 ulifauru?
mkuu kumbuka uwezo wa watanzania uko tofauti sana so usilazimishe kila mtu aishi maisha ya kifahari ya hayo magari unayodhani. Kitu cha msingi ni usafiri tu. Tupo tofauti sana hapa duniani.Watu wanataka magari yasiyokunywa mafuta sasa sijui yanataka yawe yanakunywa mchemsho? Nimempa changamoto tu kama hvyo vi $1280 anaona vingi je hizo $265,000 za Maybach? Kama cc1300 anaona nyingi je cc6000 watu wanazonunua je? Kama anaona anataka kubana matumizi hyo 9m anayotaka kununua ist,awe anakodisha bajaji au pikipiki!
hiyo gar ni nzur sana,ulaji wake wa mafuta ni km 18 kwa lita 1, inafaa hata safari ndefu,ila iwe ya lami, kwa ninakoishi kimara mavurunza haifai road mbaya sana . Nyingine zinazoendana na ukubwa wa engine ni toyota kid(terios) ipo hata daihatsu terious,ni nzuri sana,ila hi ni 4wd.