dah...mkuu mbona unanitisha....au nipange safari niende ofc za voda nini!?kaka omba muujiza utokee mm ninandugu yangu alituma pesa kutoka mpesa kwenda NMB wala haikufika na Voda nao wakasema imeenda ila angoje cku 7 hamna kilichotokea akaamua kusamehe
dah...je nikienda ofc za vodq itasaidia mkuu.!? kupotezea 1m ni shida mkuu!?hahaha jiandae kisaikolojia
Yote mawili yanaweza kutokea
Mi juzi kuna muamala nilikosea nkawapigia voda customer care anajibu kama nganga wa jadi nikawapigia kama mara 5 mmoja akanisaidia akanambia kidogo lakini mwishowe akanambia atalipeleka swala langu sehemu husika nitajibiwa,ilinibidi niondoe hiyo hela kqenye hesabu zangu nkahesabia nimekwapuliwa na kibaka lakini
Hamad jana wamerudisha
Siamini kabisa kama account za nmb na crdb zinaweza kufanana format. jaribu kuwafuatilia ofcn kwao haraka
sasa mkuu...swali ni kwamba kama account za crdb na nmb hazifanani c ingekuwa hiyo account haipo crdb c ingerudi kama wrong number mkuu...Husika hufanya bank reconciliation ya hiyo hela kutoka katika account maalum ya hela zilizokosewa then hurudishwa voda tatizo ni ufuatiliaji hapo ndio kuna ukiritimba ila nikisimamia zoezi ni siku tatu tu
Je, inawezekana account ya bank moja ikafanana na ya bank nyingine!?