goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,048
- 1,341
Mwenye maarifa kuhusu hii kitu kwa uimara wake over protector za kawaida anijuze. Nimeshawishika kuweka hii protector baada ya kusikia promo yake ila nasita isijekuwa utapeli maana wajanja wa mjini wengi sana
Ee bana ee, wanasema inadumu miaka mitano
Wahuni kivipi mkuuWahuni tu
Protector kimeo simu zinavunjika kama kawaWahuni kivipi mkuu
Kumbe ni ukweli inafanya kazi ee? Maana swala la kuvunjika kwa kioo si hata protector za kawaida kinawezavunjika ama!
Kwa hiyo unamaanisha ni hazisaidii kituHazisaidii ngekuonyesha simu yangu hapa ilivyo na mara ani hata baada ya kuweka hivyo vimaji vyao. Wanatest na drill ya kufungia nati. Ile kazi yake sio kutoboa ni kufunga nati so haiwez vunja kioo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiexpire solution ni niniHasara yake ikivunjika na kioo nacho kimavunjika...
Protekta za kawaidzinavunjikaga ila kioo huwa kina asilimia za kupona ila liquid innaenda na kioo..
Pia inexpire bada ya miezi 12
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure. Imetokea kwanguHasara yake ikivunjika na kioo nacho kimavunjika...
Protekta za kawaidzinavunjikaga ila kioo huwa kina asilimia za kupona ila liquid innaenda na kioo..
Pia inexpire bada ya miezi 12
Sent using Jamii Forums mobile app
Solution ni kununua simu nyingineIkiexpire solution ni nini