Habari zenu wana jf. Mdogo wangu amemaliza degree ya economic of development. Kwa sasa anataka asome masters ya community development. Kulingana na soko la ajira hii kozi ni nzuri au? Msaada wenu wa mawazo plz.

binafsi ninge mshauri achukue masomo ambayo yatamwezesha kujiajiri baada yakumaliza endapo atakosa ajira ya kuajiriwa kuliko kusoma masomo amambayo application yake lazima uwe umeajiruwa tu