Lady Ra
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 879
- 990
Kwema Ndugu Zangu?
Mimi ni Mhasibu, elimu yangu ni Degree ya Uhasibu. Nimefanya kazi mbalimbali za uhasibu lakin naona kama nahitaji kusoma zaid, ili nipate changamoto mpya zaid na pengine majukumu mapya zaid katika fani hiihii ya Uhasibu.
Nilichopanga ni kusoma CPA. Sasa msaada naouhitaji ni kama ifuatavyo,
1) Materials
Nitaanzia Intermediary, na nitaanza January. Lakin ningependa nianze kuyapitia kwanza hata nijikumbushe ikifika January nisione mambo mageni.
2) Ushauri juu ya masomo ya kuanza nayo. Ingawa naanzia module E lakin sizan kama nitaweza masomo yote 5. Napanga nianze machache nije nimalizie mengine.
3) Ushauri juu ya Center na affordable. Pia kazini kwangu ni Posta, Dar es Salaam. Do ushauri huu naomba uzingatie hilo sababu nitasoma jioni.
4) Lolote litakaloweza kunisaidia katika Safar yangu hii ngumu nayotarajia kuianza.
Natanguliza Shukrani.